samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Mambo yamezidi kuiendea kombo timu ya arsenal baada ya leo kufungwa goli 2 kwa 1 na kupoteza kabisa ndoto za ubingwa msimu huu. Sasa imetimia miaka sita bila timu hiyo kupata ubingwa wowotea. Ni wakati muafaka wa timu hiyo kujivua gamba ili ianze msimu ujao na nguvu mpya. Wadau mnapendekeza nini kifanyike katika kujivua gamba kwa timu hiyo. Nawasilisha.!!