Arsenal ijivue gamba!!

samirnasri

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
1,388
Reaction score
213
Mambo yamezidi kuiendea kombo timu ya arsenal baada ya leo kufungwa goli 2 kwa 1 na kupoteza kabisa ndoto za ubingwa msimu huu. Sasa imetimia miaka sita bila timu hiyo kupata ubingwa wowotea. Ni wakati muafaka wa timu hiyo kujivua gamba ili ianze msimu ujao na nguvu mpya. Wadau mnapendekeza nini kifanyike katika kujivua gamba kwa timu hiyo. Nawasilisha.!!
 
Watoto hawalali na PESA asante.Chelsea oyeeee,magamba mpo
 
Samirnasir kumbe kujivua gamba imeshakua kauli mbiu...ikiwa Chama Chetu Sekretariati ndiyo iliyong'oka kwa Arsenal timu Ing'oke ama menejiment?...kweli Lugha inakua!
 
Kujivua gamba ni neno pana sana inawezekana kuna watu wanakwamisha maendeleo ya timu kuanzia kwenye management, coaching staff, system au wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…