United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Tangu conte atue spurs kaenda kubadilisha sana Ile timu mim nlibatika kuangalia michezo mingi sana ya spurs msimu uliomaliza hasa game za mzunguko wa pili livepoor anakumbuka alichofanyiwa pale aniflied city anakumbuka kilichotokea pale Etihad conte sio arteta.
Conte ana uzoefu mkubwa kuliko Arteta kashinda ligi kuu england na Chelsea akiwa kocha mkuu pia kamnyanganya nafasi ya nne msimu ulopita jamaa alikuja na vijana wawili kutoka juve Rodrigo bentacur na Kulusevski awaa jamaa walienda kufanya spurs iwe Bora na kuimalika
Msimu huu Sasa Conte kashusha vijana wengine kina Ivan persic, Richardson, Bissouma n.k nyinyi Arsenal embu mtwambie pale top four mnamtoa nani Chelsea au maana spurs top four ANAKAA kam hamuamin msubiri mziki wa conte muone balaa lake
Tumewape taarifa mapema kabisa conte Top four ANAKAA nyiny mnakaa nafasi ya nani pale top four