Arsenal inaelekea kuzimu

Wakuletwa

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
134
Reaction score
9
Mnaikumbuka LEEDS UNITED! Ilikuwa inatisha enzi za kina Rio lkn ikaporomoka mpaka .... Sasa Asernal nayo inaelekea huko balaa gani hili?
 
wanajua kuchezea mpira kwenye vyombo vya habari.Wakishinda mechi moja wanaanza kujigamba kuwa ndio wanaianza ligi ila kwa babu wenger mambo ni magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…