ARSENAL inamgoza ligi wakat MAN-U na MAN-CITY wametoa draw ya mech wanazocheza leo

ARSENAL inamgoza ligi wakat MAN-U na MAN-CITY wametoa draw ya mech wanazocheza leo

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
352
WanaJF cpend kuwa muongo mana leo mech zitakazocheza leo iwapo ARSENAL akashnda na MAN-U,-CITY wakatoa draw bac mkaemkijua kuwa ndo bac tena arsenal bingwa wa ligi na hvyo ndivyo ilivyo kama vp 2subili mana mpra ni dakika 90 ila huwa ctabili kinyume hata sikumoja so polen sana wengne sawa pipo ila ARSENAL wapo juu
 
Kama ulivosema mpira dakika 90! Lakini huu ni mwaka wa gunners
 
Hakuna kitu kama hicho kamwe,na arsenal awezi kua bingwa.
 
Kama ulivosema mpira dakika 90! Lakini huu ni mwaka wa gunners

safiii umeonaee yan ukwel upo waz watanitafuta wanaobishana ukwel ohooo THE GUNNERS ni bingwa yan dah! Haya 2po
 
Yaani, can't wait jamani, go go go gunners!

Ntafurahi sana Murefu tukiwa mabingwa,it has bn long!
 
Gunners Goooooooooooooooooo!!!!!!!!!!! make our dream come true
:A S-fire1:
 
ngoja nitulie nisubiri mwisho wa ligi nikirudi ntatoa ushauri
 
Yaani, can't wait jamani, go go go gunners!

Ntafurahi sana Murefu tukiwa mabingwa,it has bn long!

Hahahahahaha, Michelleeeee, kumbe na wewe ni mmoja wao!?

Tangu lini watoto a.k.a wavulana wakachukua ubingwa? hadi sasa tunawazidi pointi na tuna game mbili mkononi, yani hamtaki kukubali tu kwamba mwaka huu kwenye ubingwa hampo mnasindikiza tu. Jitahidin kwenye kombe la FA na Carling cup ili kama ikitokea bahati mbaya mpate kimojawapo.
Mi nashangaa mnaposhabikia timu inayowaletea magonjwa ya moyo, hamieni timu ya ushindi, khaaaa!!🙂
 
kama unajua umemuandaa vp mwanao bac ujue wewe ni kiongoz na kama hamamin analia mech leo utaniambia mana ninajua MAN-U wanatoa draw mech zote zilizobak sawa
 
Yaani, can't wait jamani, go go go gunners!

Ntafurahi sana Murefu tukiwa mabingwa,it has bn long!

kaka ucjal 2nashnda kabisa yan mwaka huu ni we2 maisha ni ye2
 
kama unajua umemuandaa vp mwanao bac ujue wewe ni kiongoz na kama hamamin analia mech leo utaniambia mana ninajua MAN-U wanatoa draw mech zote zilizobak sawa

Hadi dk.35 kipindi cha kwanza tumeshatikisa nyavu mara mbili, wakati nyie mnasuasua na kagoli ka moja huoni watoto wako likely kutoa draw leo? kazi kweli kweli, mwaka huu mnalo tena.
 
ARSENAL ipo juu baba yake lakn haijalish hata kama mmeshna ila mpo juuuu baba yake
 
Back
Top Bottom