Kwenye mpira kuna kudra za Mungu???we najua ni man u ,shinda mechi yako ya kesho halaf tukutane fainaliAll in All mshaifanya Fainali kuwa nyepesi Sana kuliko tulivyokuwa tunaiwazia....Kuna timu naiona ikienda kutwaa FA
Mapema tu nilitabiri na imetimia..Ulisema
Umeona mkuu?Huenda....Mpira huwa una matokeo ya ajabu sana
Mawazo yako yalikuwa juu ya Chelsea kutwaa FA Cup. Mshaisahau historian ya Arsenal na hilo kombe eh?All in All mshaifanya Fainali kuwa nyepesi Sana kuliko tulivyokuwa tunaiwazia....Kuna timu naiona ikienda kutwaa FA