Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukimfuatilia kwa karibu utagundua huyu ni aina ya kocha ambaye timu ya Arsenal inamhitaji, kwa sasa anafundisha timu ya Wolves.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimfuatilia kwa karibu utagundua ni miongoni mwa makocha bora kabisa duniani kwa sasaKuna wengine ni makocha ama wachezaji wa timu ndogo tu, so tusijipe 100% kwamba nuno atafanya vizuri, hata yeye bado ni 50/50.
Kuna wengine ni makocha ama wachezaji wa timu ndogo tu, so tusijipe 100% kwamba nuno atafanya vizuri, hata yeye bado ni 50/50.
Sikatai hilo, ndio maana nikasema 50/50 anaweza akaja pale na akapuyanga tu, mpira ndivyo ulivyo, so mashabiki wa arsenal tusidhani matatizo yetu nuno atayamaliza, nikasema kuna makocha/wachezaji wa timu za huko katikati, presha ya arsenal mahitaji ya arsenal si sawa na wolves.Ukimfuatilia kwa karibu utagundua ni miongoni mwa makocha bora kabisa duniani kwa sasa
Frank lampard sio kaweza ila kaonesha ubora fulani, nikikuuliza alichokiweza frank utaniambia kipi, lampard kaonesha ana kitu, amewafanya chelsea wanacheza soka ambalo bosi wao amekuwa akitamani lichezwe pale misimu dahari wa dahari!Mbona Frank lampard kaweza licha ya kwamba alikuwa kocha championship
Frank lampard sio kaweza ila kaonesha ubora fulani, nikikuuliza alichokiweza frank utaniambia kipi, lampard kaonesha ana kitu, amewafanya chelsea wanacheza soka ambalo bosi wao amekuwa akitamani lichezwe pale misimu dahari wa dahari!
Sijui kama ulielewa maana yangu ya kusema 50 50, kuna kuonesha mazuri na kufeli, lampard hajafeli ila kaonesha kitu ambacho watu hawakukitarajia toka kwake, unadhani chelsea ikimaliza misimu mi3 inacheza soka hili ila hakuna hata kikombe cha kahawa watamvumilia kisa anacheza soka zuri mzee, timu hizi za juu zina malengo makubwa na mahitaji makubwa.
Timu inataka lazima icheze uefa, sio sawa na wolves ambao wao kwao hata euroa safi tu, kimsingi wasiwe kwenye ukanda wa kushuka daraja tu.
😆😆😆😆Huyu ni kocha kwa ajili ya kuifunga Man U. We want more.

Huyu ni kocha kwa ajili ya kuifunga Man U. We want more.
Mzee kama hufuatilii mpira unafuatilia nini hapa nchini?Kaifunga mara ngapi??
Kwani Vilas Boas alikuwa ameprove nini na aliwapa Chelsea kikombe.Huyo Nuno hapana asee. Bado haja prove chochote tangible. Ni average coach. Asije ipeleka tena arsenal kuwa kama wolves. Hapo apewe kocha mwenye mafanikio tayar ili apambane. Hao wengine hapo sio sehemu ya majaribio.
Ndio maana mimi namkubali sana Allegri, huyu ni kocha anayeweza kutuweka level ya juu kwenye Epl kwa muda mrefu sana!.. Mafanikio yake yapi wazi sana.. Tukimpata pia Luis itakuwa poa japi uwezekano haupo.. Pochetino ni mzuri sans japo hakuna uhakika wa vikombe ila mpira tutaupiga mwingi sana!.. Huyo nuno timu kubwa tutazikarisha sana ila anafungwa na timu ndogo... Kikubwa sana Emery ametoka, kocha yoyote atakayechukua nafasi yake naamini atakuwa bora kuliko huyo mhindi kokoHuyo Nuno hapana asee. Bado haja prove chochote tangible. Ni average coach. Asije ipeleka tena arsenal kuwa kama wolves. Hapo apewe kocha mwenye mafanikio tayar ili apambane. Hao wengine hapo sio sehemu ya majaribio.