Arsenal na Liverpool tumejitoa rasmi kuwania Ubingwa EPL 2017/2018

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
481
Sisi kama timu tumeamua kujitoa kwenye mbio za kuwania ubingwa wa EPL ili kumuunga mkono Pep Guadiola maana anachokifanya sisi kama upinzani ndo ilikuuwa dira yetu.Hivo kesho tutajiunga rasmi na Man City.
 
[emoji1] pamoja na kuwa mshabiki na mpenzi wa Arsenal toka miaka ya tisini mwishoni, kwa sasa hakuna uwezekano wowote wa ubingwa wa epl.

Naikumbuka sana invincible ya 49 games unbeaten.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…