Arsenal - New Era at the Emirates

Status
Not open for further replies.


Wenger won’t take unreasonable Cesc gamble​
 


We'll win and put fear in 'em​




 
​


Nasri - Why our away form is better​



Wenye wivu wajinyonge .....
 
''Wenger says the Gunners will be going for the win against a United outfit who, unusually, are proving to be draw specialists. ... ..

Skipper Fabregas yesterday completed a full training session for the first time since injuring his hamstring against Braga nearly three weeks ago''




Arshavin​


Lets see good soccer .... .... ...... ...... kama kawa Arshavin leo ndio watakapoona mpira wake bila kumsahau Nasri, Song, Walcott, Van Persie pamoja na Chamakh ..... enjoy the game guys ... we are Gunner win .....
 


Wenger not happy with the pitch at old Trafford​


Manure na Chelsick tengenezeni viwanja vyenu hamko third world country damn it!


Halftime tu hii ...... ...... tutakumbana nao Emirates 30th April 2011​
 


On 73 minutes Gael Clichy handballs in the area, Rooney steps up

and blazes the spot kick high and wide.


Hata wakibebwa hawabebeki​
 

Manure baada ya kumuumiza Nasri kwenye mkono wake ..... ...... ..... ​
 

Manure baada ya kumuumiza Nasri kwenye mkono wake ..... ...... ..... ​
Duh unaandika kama mwandishi wa magazeti ya shigongo sasa, kweli kufungwa kubaya. Yani mjomba unataka kuchakachukua kweupe?
 
Gunners mkubali mshakuwa wateja wa jamaa wa OLD TRAFFORD,wala msitafute visingizio. Poleni sana, ndio ukubwa huo.
 
Mr Bean anafurahisha sana kabla ya game anavaa suti yake safi kabisa but akishafungwa anaanza kusikia baridi tu anachukua lile Jacket lake
 
Duh unaandika kama mwandishi wa magazeti ya shigongo sasa, kweli kufungwa kubaya. Yani mjomba unataka kuchakachukua kweupe?

Dah!!!! Hata mimi nashangaa jamaa analalamika utafikiri alikuwa anacheza uwanjani
 
Duh unaandika kama mwandishi wa magazeti ya shigongo sasa, kweli kufungwa kubaya. Yani mjomba unataka kuchakachukua kweupe?

Kwani wewe hukuona fujo ambazo Manure walifanya? Ndio kama wanavyosema mwenye kupenda haoni chongo tunaongelea reality, kama huamini angalia mwaka huu kama Manure watafika mahali popote. Mchezaji mnayemtegemea mbele hajafunga in the open play kwa zaidi ya masaa 20 .... ..

Gunners mkubali mshakuwa wateja wa jamaa wa OLD TRAFFORD,wala msitafute visingizio. Poleni sana, ndio ukubwa huo.

Mkuu tunapofungwa kisoka hakuna ubishi sio kimazingaombwe kama ya jana. Ni sawa na vile Manure walipobebwa few years back wakati mpira uli-cross line pale Whitehart lane .......... ...

Mr Bean anafurahisha sana kabla ya game anavaa suti yake safi kabisa but akishafungwa anaanza kusikia baridi tu anachukua lile Jacket lake

Hivi baridi unaisikia au ni ya kusimuliwa?

Dah!!!! Hata mimi nashangaa jamaa analalamika utafikiri alikuwa anacheza uwanjani


Kama huna muda wa kuangalia soka LIVE tuachie wenyewe ambao tunaangalia kila mbinu chafu zinapotumiwa.
 


Wojciech Szczesny​





Almunia anatafuta timu na kama mpunga utatolewa muafaka ataondoka kwenye Jan window wakati Thomas anaendelea vizuri na kurudi soon huku Abou Diaby yuko kwenye full trainning ... tunawangojea wapinzani wetu wote Emirates kwenye 2nd half ... .. Manured, Loser Fools, Chelsick na ManCs mbivu zitapatikana tu na kabla ya yote Stoke at the Emirates ... .. .. Ooops Shedafa upo nyie hamko katika ile list ni derby tu khe khe kheeeeeee
 




First leg
Arsenal v Barcelona
Wednesday 16th February 2011
Kick Off: 19.45 UK
To be played at Emirates Stadium

Second leg
Barcelona v Arsenal
Tuesday 8th March 2011
Kick Off: 19:45 UK
To be played at Camp Nou
 


ARSENAL will meet Barcelona in the Champions League last 16. ​




In two months time all our injury players will be fit and flying ......
 

 
Poles apart: Both Wojciech Szczesny (left) and Lukasz Fabianski (right)
have overtaken Almunia in the pecking order​



Wenger: 'Barca tie is difficult but possible'




Unapogombea zawadi kubwa ni lazima uzishinde timu ngumu na kali kuashiria kukomaa kwako ki-soka ... ... usipende kushinda kwa kupendelewa au kubebwabebwa kama Chelsick au Manure.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…