Arsenal - New Era at the Emirates

Status
Not open for further replies.
Cesc said:
Incredible that people try and twist everything to make headlines. Arsene Wenger has had a huge impact on me and my career. Great man.

Maneno ya Cesc kwenye tweeter kuhusu magazeti ambayo yanatafuta headlines .... .... cesc ametokea kwenye academy sasa hawezi leo kukimbilia ati culture ya Arsenal ibadilike, ni wapinzani ambao wanaona kuwepo kwake kutawapunguzia matumaini ya ushindi. Cesc is not for sale .. ... .
 



Gunners have gone 15 games without losing and miss the lucky break with referees ..... ​
 



Off and running: Theo Walcott slots Arsenal into the lead




Back in front: Samir Nasri (centre) is congratulated
after scoring Arsenal's second goal​
 



Not over yet: Wojciech Szczesny refuses to write off Arsenal's hopes
of landing the title this season







Fall guys: Szczesny gave away a crucial penalty and Arsenal slipped
to third in the table as a result of their draw at Spurs








Brave face: Despite displaying his dejection at White Hart Lane, Gunners skipper
Fabregas put a positive spin on Arsenal's hopes via Twitter​
 


Wenger - How to improve mental strength​



C'mon Gunners .... .... its not over until is over .... .... ..
 
Jipe moyo Wacha1..ha ha....btw, happy Easter!...

Usiwe na shaka, labda kama unaanza kuangalia soka hivi karibuni, tuna quality players na mathematically bado tupo kwenye kinyang'anyiro. Vipi wewe hupendi? Easter safi huku Alaska ndio kwanza tunaamka, tulikwenda resi makaburuni kuchungulia tukakuta malaika wanasema Jesus Christ has risen chacha ni sherehe kwa mpigo, hivi nachunguliachungulia tu natengeneza bonge la msosi. Tuna m k w e r e moja hapa tumemwalika tunampa ujumbe mkali sana akamwambie m k w e r e mwenzake aache kuiba mpunga wa walipa kodi.
 

sio vema kucheka msibani...ila dah! wacha hebu niazime zile khe khe khee zako...zile nyekundu khe khe khee! pole mkuu mbu.
 

Vp bado mpo kwenye kinyang'anyiro? ha ha...ooops!! leo ni khe khe khe
Angalatu tumesherehekea Easter wote japo siyo matokeo ya Arsenal..Huko Alaska uko maeneo ya Sikta??Napafeel sana!!
Nadal atakuwa amekupa furaha sana ukiacha hawa vijana wa AW, hawabebeki ni presha tu!! pole
 
​



ARSENE WENGER last night took the blame for another pot-less season.


We Gunner be back ... .... .... .... .... ...
 

​

Thomas alikuwa uwanjani leo kukwaana na Manure ... ..... ...... ..... wapinzani washukuru maana angekuwa fit mwaka huu mambo yangekuwa mswano ... .... results 0 - 0 (Wenger anaweza kubadili msimamo na kumchezesha J2) ​
 
​

Wenger - This has been my hardest season​




Alisahau kwamba wenzake wananunua mechi ..... ... .... ...
 


​

Safi sana ... .... .... . ​
 


Alexander Song akihakikisha Manure hawafurukuti



​

​

Samir Nasri kama kawa aliwapa purukushani Manure



​

Ramsey akisheherekea goli la ushindi pamoja na Robin Van Persie

​



I SEY ... Aaron Ramsey celebrates​
 
​


Happy days ... ..... ...​





Walcott alihakikisha Evra hafurukuti ... ...
.... wakigombea soka ..... ..​



​

Alex Song baada ya kuchukua mpira kwa ufundi
kutoka kwa Nani Manure hawakukubali khe khe khe​



​

Ramsey akiweka chuma wavuni .... .. ​




Wine Romney alipozidiwa maarifa na Wilshere​
 

Samir Nasri akichanja mbuga ... .... .. baada ya kumtoroka Fabio

​

​

Manure wakiomba rehema za mwenyezi mungu

​


Robin kama kawa aliwahangaisha wakuda
​


Actress Charlize Theron alikuwepo kushuhudia mpambano​
 



We are Gunner punish you ... .. ​
 



Wojciech Szczesny akifanya vitu vyake​
 


Evra chini ya ulinzi mkali wa Song na Sagna





Wilshere akifanya vitu vyake



Van der sar anaangalia goli kwa masikitiko




Walcott kama kawa








Return to sender ..



​
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…