Arsenal - New Era at the Emirates

Status
Not open for further replies.



125 Years in the Making: Anniversary Crest​

 
Wacha1=Wacha ??!!:A S 13::A S 13: Khe khe khe

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwani ulikuwa hafahamu? Chubiri chacha Wacha2 karibu atatokea au WachaII which is better?
 
Arsene to keep faith in youth ​




WENGER ... faith in youth​


C' mon Gunners ... ... .... ... ..
 
Wenger: There is not a lot to say ​




LOST FOR WORDS ... Arsene Wenger​






​

​
 
Huyu Wenger angekuwa Colombia angepigwa risasi na mashabiki siku nyingi,hela ipo,support ipo tatizo ni YEYE asitafute mchawi aondoke kabla hajafukuzwa.Upeo wake umefikia kikomo tunahitaji mawazo mapya hilo ndio ukweli with Wenger tusitegemee miujiza atafutiwe timu ya vijana akuze vipaji.
 


 

Klabu 14 kati ya 20 za premeir leagu ziko kwente debt crisis . Zinatumia zaidi ya kile zinachopata. Wenger ni mfano wa kocha ambao UEFA inapekekeza klabu na makocha wa ulaya watumie. Sijui unamaaanisha nini. Sasa tuambie kamawenger akiondoka kesho mrithi wake kwa mawazo yako anafaa kuwa nani?

Kuna tofauti na kuwa na wachezaji bora na kuwa na timu bora. Umeona chelsea timu ambayo kwwa viwango vya salary slip zao hawatakiwi kufungwa na MaN u wachilia mbali arsenal.

Neno TEAM watu wanalichukulia kirahisi rahisi.....
 

Sawa mkuu,chama tunalipenda lakini linatuangusha sana,presha inakuwa haiponi kabisa.
 
Wenger - Keep referees' identities a secret​



The days of Manure ruling the EPL refereeing might be numbered as the referee saga goes on, while Manure manager was charged for improper conduct it's still debatable where it will end.

Wenger said .. …. … … "I personally believe that you should not know the name of the referee before the game anyway," said Wenger. "It should be a draw 48 hours before the game for anybody and nobody should know who is refereeing what game. "That would keep everybody out of any problems before the game. In the professional game it should be systematically a draw two days before the game.''

On Paul Merson's comments regarding serialization of his book during his stay at Arsenal (four months) Wenger offered his resignation if you could find one player he asked to dope.
 


The future is bright​


Szczesny - We did not turn up against Villa​
 
Women's FA Cup final: Arsenal 2-0 Bristol Academy​



Fleeting celebrates her strike just after the half-hour mark ​



.... .... . Julie Fleeting scored to win Arsenal the FA Women's Cup for the 11th time.
 
'We won't allow repeat of Flamini situation'​



Nasri​


Waliofikiri tutauza masters wetu kama njugu wasahau maana .... ... the future looks great ..... ... vijana wanajiandaa kwa trip ya far east .... ..
 



Arsenal equalise when Robin Van Persie scores in his ninth consecutive away game.



Fulham regain the lead against London rivals Arsenal
when Bobby Zamora heads in Greening's cross.





Making his point: Walcott scored to rescue a draw for Arsenal at Craven Cottage

​

​
 
Sawa mkuu,chama tunalipenda lakini linatuangusha sana,presha inakuwa haiponi kabisa.
Tuna mawazo yanayofanana,tunaipenda Arsenal lakini tunaumia sana kwa vipigo vya timu ndogo,kuna michezo 3-4 imetuharibia kabisa mpaka kufika nafasi ya nne na kombe la Carling kwa vyovyote lingekuwa kibondoni kama sio uzembe.
 


Wakati Cesc anakula kuku na RVP down town NY, Arsenal
wamekubali kumuuza kwa bei ya £50 million kwa timu za nje ya England​

Wakati huo huo Nasri atakalia bench msimu huu na mwakani ataondoka kwa dezo kama mnunuzi kutoka nje ya England hatapatikana .... ...... ...... ..... ​






Cesc akiaga kwa wana Gunners .... ..... ...... ... Je ataondoka?​
 
The first hand of Arsene Wenger is out …. …. … …. ..

​


​
Arsène Wenger has stressed his delight at the signing of 19-year-old defender Carl Jenkinson, who the joined the Club on Wednesday. The highly-rated full back became Wenger’s first capture of the summer when he put pen to paper on a move from Charlton Athletic.
 


​

Ngoma inogile, nasikia mashabiki wa manure na Chelsick hawapendi hizi habari khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee​
 


SAGNA ... staying at Arsenal​
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…