Matatizo ya kuwa mshabiki uzeeni yanajulikana hayo ndiyo matatizo ya wenzetu ambao hadi wanapokuwa wakongwe ndio wanaona vikombe .... Chelsick never in any picture until Romano arrived ... ..... when was that? Less than 7 years .... ... As I said before Abraham O Vich akifa na timu inakufa, chacha kwa nini uangalie mafanikio ya Gunners kama sio chuki binafsi? Oooops mzee wa chuki binafsi alikuwepo hapa .... .... ..... Super Sunday Totts wanakuja Emirates ... .... .... EPL .... ....