Arsenal ni timu ya watoto na watoto hawabebi kombe.

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
Arsenal ni timu iliyo undwa kwa ajili ya kuzalisha vipaji ili timu za wakubwa (mfano man united, man city, liverpool nk) ziwanunue na kuwatumia kupata makombe!!

Refer van parsie ambaye kama sio kuja man united asingekaa abebe kombe la ligi!!
 
Mbona hizo za wakubwa liverpool na Manyuuu zimeishiwa pumzi au zenyewe makombe hazitaki?
 
Msimuu timu iliyomsumbua Aseno ni mancity hivyo vitimu vingine vimepelekewa pumzi ya moto na swala la ubingwa bado ligi haijaisha
 
Mbona hizo za wakubwa liverpool na Manyuuu zimeishiwa pumzi au zenyewe makombe hazitaki?
Inaonesha umeanza fwatilia mpira mwaka jana.

Nitajie timu 2 zilizochukua zaidi kombe la EPL! Kama hujui google uje na jibu.
 
Arsenal ni timu iliyo undwa kwa ajili ya kuzalisha vipaji ili timu za wakubwa (mfano man united, man city, liverpool nk) ziwanunue na kuwatumia kupata makombe!!

Refer van parsie ambaye kama sio kuja man united asingekaa abebe kombe la ligi!!
Waliosema ngoma ya watoto haikeshi hawakukosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…