mrisho abdi58
Member
- Sep 20, 2017
- 11
- 1
Msiba huanza mechi kumi za mwisho vyuma vinakuwa vimechemka wanapoteza uelekeo wa ubingwa na kuishia top 4 ingawa msimu ulopita ikawa ngumu nayo.Kuwaamini hawa wachukue kombe kwanza arsenal kushinda mechi huwa wanashinda vizur tu sema makombe na wakishinda vizur hii inawapa fursa ya kuingia top 4
Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke na Liverpool. Toka kufungwa na Liverpool arsenal ni ushindi tu na suluhu
Amka kutoka usingizini weweHivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke na Liverpool. Toka kufungwa na Liverpool arsenal ni ushindi tu na suluhu