Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ni team inayopewa sifa ambazo sio zake humu JF[emoji67]β€πŸ¦―[emoji67]β€πŸ¦―[emoji67]β€πŸ¦―[emoji67]β€πŸ¦―[emoji67]β€πŸ¦―[emoji67]β€πŸ¦― pamoja na Red card goal limerudi na style yake ya uchezaji ni ile ile frequently no plan B ok guys Goodnight
 
Yan sare tayari unalalamika duh
 
Bao la mapema mtu sekunde tu ushamwaga lakini ndio linashababishaga mimbaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Arteta anataka acheze back 3 na inverted full back atakae enda kucheza kati na rice ni kama kule man city na stones na sasa ni akanji ila too bad beki za leo hizo 3 apart from saliba wengine ni presha sana
Ndiyo hawezi sasa, matokeo yake ndo haya, beki imekuwa uchochoro aka chujio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…