Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni nyingi ndio lakini kutegemea liverpool adondoshe points ni uongo, na wakati anadondosha points swali ni kwamba sisi arsenal tunaweza kushinda gemu zote?
Hapo kwenye arsenal kushinda zote napo mtihani, mimi ni shabiki wa liver lakini nitaanza kuhesabu ubingwa hadi zibaki mechi 5 na gepu liendelee kuwa hivihivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…