Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wapi? 😹
Isiwe ghetto tu!!
Feza school fees imepanda sitaki majukumu..!! 🀣
Why gettoo.. utaichukulia clock tower pale jua likitupiga..

Nimeghairi tuma location ama bolt wako aje kuibeba, isije tokea mjuba kakukamatia huko kesi jumba bovu nikaangushiwa mimi
 
Why gettoo.. utaichukulia clock tower pale jua likitupiga..

Nimeghairi tuma location ama bolt wako aje kuibeba, isije tokea mjuba kakukamatia huko kesi jumba bovu nikaangushiwa mimi
Wewe mjuba wa kutoka wapi tena? 😹😹
Ukisema hivyo mtu kanikamatia sipendi, yaani mimi ni yule mwali kigego km Arsenal sijali watu wanasema nini nafocus tu!! 😹😹

Wewe sema uko wapi nitume mtu afate..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…