Arsenal tukimpiga Bayern, tunakutana na Madrid au City. Hii sio haki

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
Hii sio haki, hata kama ni droo prediction Baada ya kutoa kitufe kuona ni hivyo wangefanya hata manuva kama yale yaliyofanyika juzi huku dunia ya tatu...

Side A una
Atletico
Dortumund
PSG
Barcelona

Side B
Arsenal
Bayern
Madrid
Man City.

Hata kama mpira una dunda, ndio udunde kwetu Arsenal? Hapa Mechi iliyo balance ni Atletico na Dortumund tuu,

Huyo City angeletwa [emoji118] akutana na PSG, [emoji117]Madrid Aminyane na Bayern sisi hao Barcelona tungepewa tukajipigia kama ngoma angalau Nusu fainali tungeiona, hayo Mengine yangekua mapenzi Ya mnyaazi mungu.
 

Attachments

  • Screenshot_20240316_145536_Google.jpg
    45.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240316_145536_Google.jpg
    45.3 KB · Views: 2
Kwamba mto amada unataka kubeba ubingwa kwa kuzioiga timu dhaifu? Au una maana gani?🤣
 
Kwamba mto amada unataka kubeba ubingwa kwa kuzioiga timu dhaifu? Au una maana gani?[emoji1787]
Hapo kubeba Ubingwa Gani?
Labda kubeba Makwapa...
 
Reactions: Lax
Porto Mwenyewe tuu Ilikua shidaa...

Arteta kasema Njia pekee ya Arsenal kuepuka kipigo, ni kutopeleka timu Uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…