Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] mwantesa utd eeheeeHahahaha aisee..nafasi yenu ya 4 kama kawa
Kama hawataki wafee isee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]ndo tushaanza ivyo,we na usajili wote huu ozil,Sanchez wamebaki tusiwe kileleni..!!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Nyie mnaongoza nnLabda mnaongoza ndondo Cup
Sent From My Nokia Ya Tochi
Kabsaa watuacheUtd wa 12 huko atuachie wababe wa EPL tutambe hhhhhh
Ilitakiwa ianze na AFC Bournemouth.ndo tushaanza ivyo,we na usajili wote huu ozil,Sanchez wamebaki tusiwe kileleni..!!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Safari hii tunaangukia pua kwa mara nyingine tena. Wenger akatrain vijana huko chini wapande wacheze ligi kuuHahahaha aisee..nafasi yenu ya 4 kama kawa
teh teh teh noma..wakishinda arsenal msimu ujao nidai lakimoja
sijui huwa mnakwama wapi?Safari hii tunaangukia pua kwa mara nyingine tena. Wenger akatrain vijana huko chini wapande wacheze ligi kuu
Okay