M MaxMase JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 872 Reaction score 820 Dec 16, 2017 #1 Match iko RTS 1 kwenye other channels. Bonyeza remote kwenda kulia utaona other channels huwa wanaonyesha match moja ya epl kila jumamosi.
Match iko RTS 1 kwenye other channels. Bonyeza remote kwenda kulia utaona other channels huwa wanaonyesha match moja ya epl kila jumamosi.
M MaxMase JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 872 Reaction score 820 Dec 16, 2017 Thread starter #3 lugaluga said: Asante sana Click to expand... Tuko pamoja
Kibongo one Senior Member Joined Dec 17, 2016 Posts 104 Reaction score 104 Dec 16, 2017 #4 Mbona kwangu siioni?....kifurushi changu kidogo...18000
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,572 Dec 16, 2017 #5 Thanks
M MaxMase JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 872 Reaction score 820 Dec 16, 2017 Thread starter #6 Ok Kibongo one said: Mbona kwangu siioni?....kifurushi changu kidogo...18000 Click to expand... No other channels ni za bure. Bonyeza remote kwenda kulia utaona channels nyingine tofauti na hizo za AzamTV then itafute rts
Ok Kibongo one said: Mbona kwangu siioni?....kifurushi changu kidogo...18000 Click to expand... No other channels ni za bure. Bonyeza remote kwenda kulia utaona channels nyingine tofauti na hizo za AzamTV then itafute rts
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Dec 17, 2017 #7 Asante mkuu