Arsenal vigeugeu

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,837
Reaction score
879
AMA kweli maisha bila unafiki hayaendi. ndicho unaweza kusema kuhusu Aserne Wenger baada ya mashabiki wa timu hio jumapili aprili 22 kubeba mabango ya kumpongeza kocha huyo siku chache tu baada ya kutangaza kwamba ataachia ngazi mwisho wa msimu. tofauti na ilvyozoeleka siku za karibuni ambapo mashabiki hao walikuwa wanabeba mabango ya 'wenger out', jumapili hio mambo yalikuwa tofauti huko emirates wakati wenger alipokiongoza kikosi chake kwa mara ya kwanza tangu alipotoa kauli hio. Arsenal ilicheza na West Ham United na kushinda 4-1 kwenye mchezo wa ligi kuu, huku straika Alexandre Lacazetteakipiga mbili.kati mchezo huo ulioshuhudiwa na mashabiki 59,422.
 
Kwann Mod wanaruhusu nyuzi kama hizi?

Kizazi kibovu hiki kisichowaza, mnakuka sana sembe, akili zenu zimebungua,

Arsenal ilihitaji mabadiliko , lakin hiyo haizuii Wenger asiagwe vzr, maana ameifanyia klabu Makubwa

Epl 3

FA cup 7

Community shield 7

Kajenga uwanja wa mazoezi na emirates

Kaiweka timu katika Uchumi mkubwa na IPO NAFASI YA 6 KATIKA VILABU TAJIRI DUNIANI.

Kwanini Asiagwe vizuri? Ulitaka kisa mashabiki wa arsenal wamemchoka wenger, aagwe vibaya?

Shame on u
 
Kwa hiyo tangu April 22 ulikua unafikiria uandike hicho tu.!!!!!!!!!!!!??????
 
Uefa hamna kumbe mi nlijua kabeba hii ndoo aiseee
 
Mtoa mada noana hujajua maana ya neno


Fair play.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…