Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 449
- 990
Nasikia dstv hawataonesha fainali ya europer because hawana rights. Nataka kujua nitaichekia wapi..
msaada wakuu
Dstv Mbona ligi yote ya europa wameonyesha?
Hata DSTV ipoMkuu KTN ipo king'amuzi gani?
EPL ya tanzania labda..... epl siyo bei chee kama la liga na fa aisee..... DSTV NI HABARI NYINGINE.Dstv hata ligi ya Epl watanyanganywa maana ushindani umeongezeka watu wanapanda dau. Azam tv wamewanyanganya Kombe la FA.
Dstv Mbona ligi yote ya europa wameonyesha?
Wazee hamna channel ya DSTV wanaonyesha?
Hipo tensport
Azam nae vipi ?
Ni Mia ngpHipo tensport