Kigoma Boy
JF-Expert Member
- Jun 8, 2017
- 223
- 128
Game ya jana ilikuwa tamu sn ukizngatia iliwalazmisha Arsenal kucheza mpira wa kasi sn ambao sio wao,
Jimmy Vardy hakuwa midomoni mwa wadau wengi ila jamaa analijua goli na ataduwaza wengi msimu huu..
Kilichoisaidia Arsenal jana ni Chamberlain na Xhaka na Bellerin kufos mpira wa matokeo ambao sio asili ya Wenger!!!!
Zile pasi ndefu mita zaidi ya 20 za Xhaka namashuti ya mbali ya Ox yalifanya Leceister wa concentrate nyuma zaid na kuwapa mwanya gunners kuwapumulia kila dakika.
Good start Arsenal!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni defense!1. Ukabaji Mbovu Wa Hector Bellin Umefanya Holding Aonekane Njia
2. EPL (English Premier League) hakuna Kiungo Kama GRANIT XHAKA
3.GIROUD Ndiye Super sub Epl Nzima
4.Arsenal Wanajua Mpka Kero
[HASHTAG]#TeamArsenal[/HASHTAG]
Ukilinganisha na relodi za nyuma mechi za kwanza, jana ilikuwa poa, point 3, possession 70%, ni defense tu ktk set pieces na zile run against a play ndo ziganyiwe kazi!ujinga mtupu mechi ya kwanza unakubali goli na unatumia nguvu nyingi kuchomoa still unajisifia unatimu
Koscienly Available Next Match Na Mustafi Hivyo HivyoTatizo ni defense!
Inaitwa Epl Kazi Kazi Clean Sheet Nenda La Ligaujinga mtupu mechi ya kwanza unakubali goli na unatumia nguvu nyingi kuchomoa still unajisifia unatimu
Namba 4,uko sahihi sana yaani jana walikuwa wanaangalia uwezo wao ukoje mpaka kufika golini,maana wanakwenda pasi za kufa mtu mpaka kwenye goli halafu hawafungi.Nimeghairi mpango wangu wa kupiga kampeni Wenger aondoke.1. Ukabaji Mbovu Wa Hector Bellin Umefanya Holding Aonekane Njia
2. EPL (English Premier League) hakuna Kiungo Kama GRANIT XHAKA
3.GIROUD Ndiye Super sub Epl Nzima
4.Arsenal Wanajua Mpka Kero
[HASHTAG]#TeamArsenal[/HASHTAG]
We Subiri Tu Then Utaona We Si UnakaririNdio mnaanzaga ivyo kila msimu. Tutafutane Dec- Jan. Mnakuwaga hoi nyie.
Mtu Hatar Sana Sijahawi Ukitoa Luka Modrick Kwa Pass Sahihi (Accuracy Pass) Jamaa Anafuata Ni Huyu Jamaa XHAKA Master Wa Long &Short Pass
Manherez Jana Ilibid Atoke Gemu LilimkataaGame ya jana ilikuwa tamu sn ukizngatia iliwalazmisha Arsenal kucheza mpira wa kasi sn ambao sio wao,
Jimmy Vardy hakuwa midomoni mwa wadau wengi ila jamaa analijua goli na ataduwaza wengi msimu huu..
Kilichoisaidia Arsenal jana ni Chamberlain na Xhaka na Bellerin kufos mpira wa matokeo ambao sio asili ya Wenger!!!!
Zile pasi ndefu mita zaidi ya 20 za Xhaka namashuti ya mbali ya Ox yalifanya Leceister wa concentrate nyuma zaid na kuwapa mwanya gunners kuwapumulia kila dakika.
Good start Arsenal!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.. Mkuu sikariri. Ninachosema ni kweli bhana halafu tatizo Wenget ni mkubwa kuliko club. Dec kila mtu atatambua hali yake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Namba 4,uko sahihi sana yaani jana walikuwa wanaangalia uwezo wao ukoje mpaka kufika golini,maana wanakwenda pasi za kufa mtu mpaka kwenye goli halafu hawafungi.Nimeghairi mpango wangu wa kupiga kampeni Wenger aondoke.
Sony Z3