Arsenal vs man city,

Yaani ingekuwa mchezo wa mpira unachezwa mezani tu tena kwa kujumlisha jumlisha vinamba namba huenda mpaka leo hii Tanzania tungekuwa tumeshachukua Kombe la Dunia kama mara Tatu hivi.
 
Tz ni ya pili Africa kuamini uchawi,ya kwanza Nigeria. Ujinga mtupu,wekezeni kwenye mpira. Simba wanapigana kutaka dezo.
 
Heb weken matokeo ya kwel bas,mm nimebet unajua.
 
Alisema ndani ya dk 90 na ikawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…