Arsenal wakiongoza ligi ngumu sana kusikiliza ushauri

Arsenal wakiongoza ligi ngumu sana kusikiliza ushauri

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Vichwa ngumu sana hawa majamaa! [emoji38]
20240327_100222.jpg
 
31/3 ndo mwisho wao,Arsenal no fungu la kukosa,Wana Spurs ugenini,Man U ugenini nafasi Yao ni ya 3 tu
 
31/3 ndo mwisho wao,Arsenal no fungu la kukosa,Wana Spurs ugenini,Man U ugenini nafasi Yao ni ya 3 tu
Kwa Arsenal hii kuche,a ugenini ni kama tupo Nyumbani, big 6 wote round ya kwanza hakuna aliyetufunga
 
The most attractive club in the world.

Miaka zaidi ya 20 haina kombe na bado iko kwenye headline kila siku.
 
Back
Top Bottom