Arsenal wanaanzaga spidiii,katikati tu hoi

Arsenal wanaanzaga spidiii,katikati tu hoi

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Njia pekee ya arsenal kuongoza msimamo wa EPL,nikuzipanga timu kwakuzingatia mtiririko wa Alphabeti.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
msimu huu wamechoka mapema sana nadhani sababu ya mshindano mengi kwao kitu kigeni,washapungiziwa moja ngoja tuone wanasongaje.
 
Njia pekee ya arsenal kuongoza msimamo wa EPL,nikuzipanga timu kwakuzingatia mtiririko wa Alphabeti.[emoji16][emoji16][emoji16]
Uliangalia mpira Jana kwanza lile goli sio hali halafu ile counter pressing ya Newcastle jana angalau wangejitahidi wakapata droo jamaa wanakaba mpaka kivuli.
 
Back
Top Bottom