Arsenal wanatisha

Arsenal wanatisha

sio rahisi, yyt mwenye akili hashangilii gori zilizopatikani kwa bahati

yanga ilifungwa sana na fisi. lkn hashangilii sana kwa kuwa mfupa wake unalika
 
Vijana walikuwa na ari kubwa ya kupata matokeo!
 
Mi nalaumu saaana kocha wenga kwa kutowatoa mapema ozil huwa namkubali sana oxlaed chambline hasa second half akiingia mapema .mpira unakua kama ndio waanza vile
 
sio rahisi, yyt mwenye akili hashangilii gori zilizopatikani kwa bahati

yanga ilifungwa sana na fisi. lkn hashangilii sana kwa kuwa mfupa wake unalika

Mkuu bahati haiji ukiwa Umelala,pole sana naona kipigo kimekuchanganya!!😆😂
 
Back
Top Bottom