Wamisako 1
Member
- Sep 29, 2015
- 8
- 5
Kama arsenal wangelikua makini leo hii wangeweza kurudisha zile goli nane walizofungwa kimazabe na manchester utd
sio rahisi, yyt mwenye akili hashangilii gori zilizopatikani kwa bahati
yanga ilifungwa sana na fisi. lkn hashangilii sana kwa kuwa mfupa wake unalika