Arsenal wapigwa 10-2

Nenda tuu hama ..wala hujawai kua shabiki wa gunners wewe..
 
sitohama hata tukishuka daraja

die hard fan
arsenalforever
 
Kafia Ujerumani Msiba Uingereza,ila msihofu hata KILUVYA FC kala 6 leo.
 
Yani katika mameneger wenye roho ya ngumu nadhani hata shetani akisikia jina lake tu anatimua vumbi, basi atakuwa ni Wenger.
 
tumesubiri sana hatimaye second leg limechezwa leo na mtoto amekaa tena
arsenal ameamizwa tano kama mwanzo.
naona arsenal ana record mbaya ya kufungwa na bayern na hizi ni baadhi ya jamvi zilizopo hapa JF
Klik link hiyo juu kutazama magoli yote 5
 

Attachments

  • Capture.PNG
    6.4 KB · Views: 35
Bora wasiingie top 4 mpaka Wenger atakapostaafu.
maana yule hafukuzwi mpaka atakapo staafu kwa sababu ya umri kama Sir Alex
Katika timu zinazojua kupindua matokeo ni arsenal,,walianza baryen wakamalizia Emirates
 
Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba kumbe Arsenal ni mali ya Wenger , kauziwa tangu msimu uliopita .
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Arsenal, kiukweli nilitaka tupigwe hata 20-2 ili huyu mzee afukuzwe Arsenal, kwa magoli hayo kumi najua sasa lazima atafukuzwa tu, maana huyu mzee alizidi sana na uchumi wake, hata wachezaji wamekwisha mchoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…