Arsenal wazindua jezi mpya ya nyumbani ya msimu wa 2026/27

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Arsenal wanazindua jezi mpya ya nyumbani ya msimu wa 2026–27 kabla ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League final.



 
Vip? Hawajatuekea nyota hapo si tunachukua UEFA hapo tar 30
 
Arsenal kwenye Jezi hawajawahi kufeli, Ba tamu akinipa hii nachukua, sikataii Aloooh.
Imekaa [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kwenye jezi tu, chama langu hatunaga kazi mbovu..
Mapema tu huu uzi unavaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…