Arsenal yafikiria kumpa shavu Jack Wilshere, mazungumzo yanaendelea

Arsenal yafikiria kumpa shavu Jack Wilshere, mazungumzo yanaendelea

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
3327515-68030568-2560-1440.jpg

Arsenal inafanya mazungumzo na Jack Wilshere (30) ili kumpa nafasi ya kuwa kocha wa timu yao ya vijana Chini ya Miaka 23 na 18

Waliokuwa makocha katika timu hizo, Bosses Kevin Betsy na Dan Micciche wote wamendoka na hivyo Arsenal inahitaji mtu wa kuziba nafasi hiyo.

Nafasi hiyo inaweza kuangukia kwa Wilshere na nahodha wake wa zamani Per Mertesacker. Kwa sasa Wilshere hana timu baada ya kumaliza mkataba katika timu ya Aarhus YA Denmark, mwezi uliopita.


Source: The Sun


----------------

Wilshere, 30, spent the second half of last season playing for Aarhus.

He made 14 appearances for the Danish club and is now a free agent again.

Prior to his stint at Aarhus, Wilshere trained with the Gunners - also working with some of their academy players.

Quizzed about hanging up his boots last month, he said: "I think I would love to go back to Arsenal and coach, once I have fully made that decision.

"That decision might be in a week. It might be in two years.
 
Jamaa ndiyo ana miaka 30 kapotea, Onyango na Kagere 48 bado wanacheza
 
Back
Top Bottom