Arsenali mambo ni gani?

Watoto wamesha collapse, wale Man City sio watu ni majini, nafasi ya pili itanitosha pia..
 
Imani bado ipo huyo Mancity naye ataingia choo cha kike tuu kwa kina Brighton hao
 
Kuna kila dalili kwamba Man City atalitetea tena kombe lake, hamna wa kumzuia kuchukua ubingwa wa EPL na anaweza akachukua vikombe vitatu msimu huu.
 
Nasemaje Arsenal bingwa msimu huu kama mtu hataki aache niko pale...
 
Mancity anachukua Makombe yote 3 msimu huu
1.EPL
2.UEFA
3.FA

Na hakuna wa kumzuia ,sio Madrid wala Man U wala arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…