Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wenger kocha wewe..achana na sera za arsenal,mpe wachezaji wanaistahiki uone,siyo iwobi na giroudHeee psg wanaitaka uefa kweli?
Hivi zile ni sera za Arsenal au ni sera za Wenger Mwenyewe ?Wenger kocha wewe..achana na sera za arsenal,mpe wachezaji wanaistahiki uone,siyo iwobi na giroud
Hivi Tuchel ana uzuri gani hadi afikiriwe kupewa timu kubwa ?Kocha wa dortmund wa zamani tuchel ndio anaenda PSG kuwa kocha wao mpya ila pia wanamtaka wenger akawe raisi wa club yao ili asaidie kwenye mambo ya financial
Arsenal..ndo waliomwambia awauze kolo,nasri na adebayor ili kilipia deniHivi zile ni sera za Arsenal au ni sera za Wenger Mwenyewe ?