Art subjects (Masomo ya sanaa)

Art subjects (Masomo ya sanaa)

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Sijui ni kwanini hakuna usawa wa ajira kwa sisi waalimu wa masomo ya arts na sayansi, sayansi wanaoewa nafasi kubwa ya kupata ajira kuliko sisi wa arts na kiuhalisia hata hao wa arts hawatoshi mashuleni

Unfair

#Msaka_ajira
 
Aisee arts wapo wengi mno mashuleni kuliko wa sayansi. Kuna shule moja hapa watt 2000 secondary Ila mwalimu mmoja qa maths and physics
 
Arts ina walimu wengi sana ila usichoke kutafuta hata hao wa ED science kuna wengine wapo mtaani.
 
Back
Top Bottom