uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Ngoja tuone matokeo ya Leo.Ana tatizo la presha!
Game ya liver na city ikiwa droo tu, pressure ya Arsenal itakua kubwa akienda etihad!
Najua mancity hatofanya kosa zaidi ya kumfunga Arsenal!!!!
Mwaka huu ubingwa utaamuliwa na bahati TU,sio uwezo coz timu zote zinalingana kiuwezo !!
Arteta alipaswa msimu huu achukue lakini naona kama bahati inambeba Liverpool vile na vitoto vyake vya mchongo!!
Ngoja tuone matokeo ya Leo.
Arteta amejipata siku Mingii, ni wewe tu ulikua humuaminiNimeiangalia arsenal ikiwa chini ya arteta kwa misimu kadhaa
Mpaka msimu wa mwaka jana alikuwa anacheza mpira wa kivulana sana/mpira usio na malengo
Ila msimu huu ameongoza kitu
Na amebadilika sana
Kusema kweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
The guy is working hard to be best football coach and I start like him
Ningependa arteta ashinde taji msimu huu ila kikwazo chake kitakuwa manchester city
Baada ya Alonso kujipata km kocha elite anayekuja angalau na arteta has something
Arteta anakosa psychological strength!Arteta amejipata siku Mingii, ni wewe tu ulikua humuamini
Kukosa psychological strength inaweza kuwa ni kwasababu ya uchanga wake kwenye kazi, lakini hiyo sio sababu ya kutokubali kile anachofanya Arteta, jamaa yuko vizuri sana ametengeneza kikosi kinaupiga wakutoshaArteta anakosa psychological strength!
Hebu cheki anavyoshangilia anapoifunga lfc isiyo na mo Salah Wala endo.pale Emirates Tena Kwa makosa ya vandyke,ona Jana dhidi ya Brentford tia tia maji!!
Hana uwezo was kukabili pressure!!Bado na game dhidi ya city, Chelsea na man UTD utaona pressure itakuaje kwake!!
Porto akimpiga Arsenal juma4 hii. Arsenal ataenda Etihad mnyonge.kama game ya jana walijitadi kidogo kuwa direct ubaya ni kwamba kuna uwezekano leo city akapigwa pale anifield na wew mechi ijayo ukaenda kubamizwa ETIHAD nafasi ya mbio za Ubigwa bado ipo kwa City na livepoor
Mimi nadhani 10hag ndo atajimilikisha.Alonso kule Bayer Leverkusen anaogopa kuja EPL kwasababu ya uwepo wa Arteta na Guardiola, kama Arteta angekuwa ujerumani angeshachukua ubingwa wao bahati mbaya Guardiola ameamua kujimilikisha ule ubingwa.
Naamini Klopp akiondoka, bila kujali kocha yupi atakuja kuchukua nafasi yake, na Guardiola msimu ujao akiondoka (naamini msimu ujao ndio wa mwisho kwake) Arteta anaenda kujimilikisha utawala wa EPL.