Article 1: 10 Reasons Why Very Little % Of The Population Achieve Their Goals


Belo . . . ningeshauri wewe na wenzako muwe na mtazamo huu mzuri uliouzungumzia. Mkipata nafasi njooni TPN katika Networking meeting na mawazo yenu. Nimeona ndani ya TPN watu wakija na mawazo mbalimbali kisha wakajiunda kama kampuni na kuchanga mitaji na hata kuomba mikopo.

Usikate tamaa hata siku moja na endelea kuwahamasisha wenzako hapo ulipo, you can still make a difference. Unaweza pia kuwasiliana nami naweza kukutumia baadhi ya PPT za Ujasiliamali ambazo zilishatolewa TPN. Ukiweza kuniona zipo hata video za Training zilizotolewa tayari katika DVD. Tutafutane kijana wangu kupitia president@tpn.co.tz.
 


Bado naamini mtaji sio tatizo sana.
Hili swala la ku-form groups ambapo sote twafahamu umuhimu wake, nitoe mfano rahisi: bendi za muziki au vikundi vya sanaa huvunjika baadae katika mazingira ya kufarakana, tena baada ya mafanikio makubwa.

Inafika mahali mabadiliko huenda yakahitajika kutokana na sababu mbalimbali.
Mfano kundi la watu wawili - group leader/owner na mwingine ni group member, miaka miwili baadae wanabadilisha structure na kuwa partners. Au kundi ambalo limeundwa (watu wawili), na wamekubaliana kuwa baadae wakishajijenga kugawanya shares kila mmoja ajitegemee.
How to go about that, what challenges to foresee?

Hapa ningependa kuona mifano halisi ya aina za groups kama hizi badala ya kusoma kwenye vitabu. Perhaps this is where TPN comes in.


Idea na dhana ya ujasiriamali ni nzuri sana ila tunahitaji something simpler, say franchising kind of approach to start with?!!
Ujasiriamali (Entrepreneurship) kwa maana yake halisi is said to be a difficult undertaking.




.
 


Lazy Dog, TPN was able to forsee all this kind of problems well in advance. Actuall this is a reason we agreed TPN itself should not do any business instead should be like a PARENT to take care of any potential problem which may come out. You need to be TPN member to have a sense of security and trust that the group or partnership you are joining is a brain child of TPN built on 100% TRUST.
 
Kwa maoni yangu, a deserving farewell kwa member wetu yoyote, aliyetangulia mbele ya haki ni kumuaga kupitia maandishi yake, threads zake ili kujikumbusha mawazo yake, maneno yake na matendo yake tukiendelea kuishi Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

RIP Comred Santus Mtsimbe, maandishi yako humu JF, yatakuishi milele!.

Umepigana vita vilivyo Vitakatifu,
Mwendo Umeumaliza, Imani umeilinda.

Bwana Ameleta, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…