Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chatgpt inafanya mambo mengi sana. Hadi logo inatengeneza. Lakini bado ina mapungufu, mfano kupata logo kwa viwango na taste uzitakazo inafail. Naikubali sana kwenye Augmentation ya documents. Niliipa document ikanifanyia analysis ndani ya dakika 1.1. ChatGPT - Ni tool ya mazungumzo inayotumia teknolojia ya artificial intelligence (AI) kutoa majibu, msaada, na ufafanuzi kwa maswali mbali mbali. ChatGPT inaweza kukusaidia juu ya maswala ya elimu, kujifunza kutumia programu za kompyuta, ushauri wa kibiashara, au hata kujibu maswali ya kila siku. Inapatikana Playstore/Appstore/Microsoft Store na unaweza ukatumia kwenye browser yako kama unaona ni changamoto kuwa na apps nyingi kwenye device yako.
Unaweza kuuliza chochote kile na ikawa ina msaada wa kukupa majibu.
Deepseek Ai ni bora pia kwa sababu inaweza kukupa majibu bure, kukupa picha bure na baadhi ya sifa nyingi sana ,na inatumia language model ya R1 ,ila changamoto yake ni kuwa inaelemewa kila wakati kiasi cha kufanya watumiaji tusipate majibu kwa wakatiDeepseek unlocked
Tumia Ideogram AiChatgpt inafanya mambo mengi sana. Hadi logo inatengeneza. Lakini bado ina mapungufu, mfano kupata logo kwa viwango na taste uzitakazo inafail. Naikubali sana kwenye Augmentation ya documents. Niliipa document ikanifanyia analysis ndani ya dakika 1.
Hahaha uchokozi huuDeepseek unlocked
Ina app yake na vipi Matumizi yake haswa inadeal na nini na utofauti wake na AI nyingine ?03. Venngage Ai - Hii ni teknolojia inayotumika kutengeneza inforgraphics kwa ajili yako wewe mwenyewe, kampuni au taasisi.
Hii hauna haja ya kuandika mambo mengi sana, naweza kuifananisha na Canva, unachukua template tu kisha unapachika then boom kinatokea kitu ubaweza uka-submit kwenda kwa mhusika au kuitumia wewe mwenyewe