Artificial ozone layer ndiyo suluhisho kwa space exploration na colonization

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
OZONE LAYER
Kinachoitofautisha Dunia na sayari nyingine kama Mars, Mercury na Venus (terrestrial planets) ni uwepo wa ozone layer na ndiyo ambayo inafanya maisha yanawezekana.

KAZI ZA OZONE LAYER
  • Kuzuia solar radiation. Kinachozuia colonization ya sayari nyingine ni kuwepo kwa solar radiation. Dunia ina ozone layer ambayo inazuia solar radiation ndiyo maana kuna maisha.
  • Kuzalisha oxygen.
  • Kucontrol gravitational force.

ARTIFICIAL OZONE LAYER
Ozone layer bandia kwa sayari kama Mars, Venus na Mercury kutachochea makazi na kuwepo kwa maisha kwenye hizo sayari. Wanachokosea NASA na wadau wengine wa mambo ya anga ni kufocus zaidi kwenye rockets kuliko kwenye kutatua tatizo la msingi ambalo ni artificial ozone layer. Mtu atakayeweza kutengeneza artificial ozone layer ya Mars, Venus, na Mercury atakua ndiyo mtu aliyefanya uvumbuzi mkubwa kuliko watu wote.
 
OZONE LAYER
Kinachoitofautisha Dunia na sayari nyingine kama mars, mercury na Venus (terrestrial planets) ni uwepo wa ozone layer na ndo ambayo inafanya maisha yanawezekana

KAZI ZA OZONE LAYER
Kuzuia solar radiation
Kinachozuia colonization ya sayari nyingine ni kuwepo kwa solar radiation Dunia Ina ozone layer ambayo inazuia solar radiation ndo maana Kuna maisha
Kuzalisha oxygen
Kucontrol gravitational force

ARTIFICIAL OZONE LAYER
Ozone layer bandia kwa sayari kama mars, Venus na mercury kutachochea makazi na kuwepo kwa maisha kwenye hizo sayari. Wanachokosea NASA na wadau wengine wa mambo ya anga ni kufocus zaid kwenye rockets kuliko kwenye kutatua tatizo la msingi ambalo ni artificial ozone layer, mtu atakayeweza kutengeneza artificial ozone layer ya mars, Venus, na mercury atakua ndo mtu aliyefanya uvumbuzi Mkubwa kuliko watu wote
Huenda wazo lako ni muhimu sana, na angeliona bwana Elon Musk, huenda angelifanyia kazi. Nahisi Elon Musk hajuwi Kiswahili, na huenda hana mtu wake wa karibu (msaidizi wake) anayeijua lugha hii. Jaribu kufanya translation halafu post tena huenda ikawafikia wakubwa na wakaifanyia kazi na wewe wakakukumbuka kwa 'commission'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU USEMAYO NI KWELI ILA SHIDA LAZIMA WAWEKEZE KWANZA KWENYE ROCKETS AMBAYO NDIO MEANS OF TRANSPORTATION KWA SASA KUELEKEA HUKO.

HATA HIYO ARTIFICIAL OZONE LAYER ITAKUWEZESHWA VIZUR KAMA TUTAWEZA FIKA HUKO MA KUSOMA MAZINGIRA KWA UKARIBU ZAIDI
 
Ozone layer ni Gas huihitaji kuibeba inatengenezewa huko huko kwenye hizo sayari

Design na engineering inafanyiwa huku Dunia Ila engineering inafanyiwa huko huko kwenye hizo sayari
 
Boss Fuatilia mipango yao ya transformation of mars na obtions za transformation walizonazo. Halafu, Hao unaowazungumzia ndio wamekufanya uelewe kuwa kuna sayari na wakakupa na componets za hizo sayari na sasa wana robots za uchunguzi kwenye space, dont underestimate their brain capacity kwa kudhani kwamba hili unalozungumza halijawahi kuclick kwenye vichwa vyao.
 
Wao ni wanadamu na Kuna vitu wanakosea nakukumbusha India alikua colon la muingereza lakin Leo hii kampita muingereza kwa kukua na uchumi Mkubwa

Tatizo kubwa la muafrika ikiwemo wewe ni kuamin mzungu hakosei na kuogopa kumchallenge ndo maana tuko kama tulivyo

Wao kuwa na mafanikio makubwa haituzuii sisi kufikiri au kuwa challenge
 
Boss unamchallange mrusi, mmarekani, mchina kuhusu space kwa kumwambia kuwa hajui tatizo ni "radiare"?

This is not a challenge, you have defame their acumen. Hapa hakuna ulichochallenge, ndo maana nikakuambia fuatilia kuhusu mars transformation na sababu zake utaelewa kuwa hapa hujatoa challange ila umedharau uwezo wa akili zao sababu hujafanya utafiti wa kutosha kuhusu uwezo wao na walipofikia katika mambo ya space.
 
Kwaufupi hakuna kitu mtanganyika aliyekulia na kupata elimu hii ya Tanganyika ya maelekezo kutoka kwa mwingereza ya kukariri maeneo ya viungo vya panzi anaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala ya anga mpaka kufikia kuwachallenge wenzetu.

Labda kama alipata nafasi ya kuwa na exposure hiyo katika facility zao. Tunachoweza kufanya ni kugoogle na kuyoutube taarifa zinazowekwa na wenzetu ili kupata uelewa kisha tubishane kitanganyika tanganyika. Sasa hivi tupo kwenye level ya kuunda magari ya Kp motors n.k, Sio dharau kwa ndugu zangu ila ni uhalisia tulionao katika jamii yetu.

Unaweza niprove wrong kwa kuibadili hii mada yako na kuiboresha kisha ukawachallenge kwa kupost kwenye forum zao na youtube ili ujiridhishe kuhusu uwezo wao iwapo watakubali kutumia muda wao kubadilishana hoja.
 
Sihitaji kumchallenge mtu yeyote na sihitaji kibali kutoka kwa mtu yeyote ili nifikiri am free man
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwaufupi hakuna kitu mtanganyika aliyekulia na kupata elimu hii ya Tanganyika ya maelekezo kutoka kwa mwingereza ya kukariri maeneo ya viungo vya panzi anaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala ya anga mpaka kufikia kuwachallenge wenzetu.

Labda kama alipata nafasi ya kuwa na exposure hiyo katika facility zao. Tunachoweza kufanya ni kugoogle na kuyoutube taarifa zinazowekwa na wenzetu ili kupata uelewa kisha tubishane kitanganyika tanganyika. Sasa hivi tupo kwenye level ya kuunda magari ya Kp motors n.k, Sio dharau kwa ndugu zangu ila ni uhalisia tulionao katika jamii yetu.

Unaweza niprove wrong kwa kuibadili hii mada yako na kuiboresha kisha ukawachallenge kwa kupost kwenye forum zao na youtube ili ujiridhishe kuhusu uwezo wao iwapo watakubali kutumia muda wao kubadilishana hoja.
Hiyo umesema wewe tatizo lako una generalized kwamba hakuna mtanzania anayeweza we endelea kuamin unavyoamin kwamba sisi hatuwezi Bali naendelea kuamin navyoamini
 
OZONE LAYER
Kinachoitofautisha Dunia na sayari nyingine kama Mars, Mercury na Venus (terrestrial planets) ni uwepo wa ozone layer na ndiyo ambayo inafanya maisha yanawezekana.

KAZI ZA OZONE LAYER
  • Kuzuia solar radiation. Kinachozuia colonization ya sayari nyingine ni kuwepo kwa solar radiation. Dunia ina ozone layer ambayo inazuia solar radiation ndiyo maana kuna maisha.
  • Kuzalisha oxygen.
  • Kucontrol gravitational force.

ARTIFICIAL OZONE LAYER
Ozone layer bandia kwa sayari kama Mars, Venus na Mercury kutachochea makazi na kuwepo kwa maisha kwenye hizo sayari. Wanachokosea NASA na wadau wengine wa mambo ya anga ni kufocus zaidi kwenye rockets kuliko kwenye kutatua tatizo la msingi ambalo ni artificial ozone layer. Mtu atakayeweza kutengeneza artificial ozone layer ya Mars, Venus, na Mercury atakua ndiyo mtu aliyefanya uvumbuzi mkubwa kuliko watu wote.
Usiku wa kuamkia kesho na usiku wa Kesho sayari ya Jupiter na miezi yake minne: Io, Europa, Ganymede, and Callisto. itakuwa karibu na Dunia sayari yetu kilomita million 367.
Hubble-Jupiter-2021 (1).jpg

Itakuwa rahis kuiona hii sayari kwa Binoculars. Cha kupendeza zaidi the great Jupiter red spot utaweza pia kuiona na Binoculars.

JF Sky gazer
 
Hiyo umesema wewe tatizo lako una generalized kwamba hakuna mtanzania anayeweza we endelea kuamin unavyoamin kwamba sisi hatuwezi Bali naendelea kuamin navyoamini
Boss Hujasoma ukanielewa. Nimeweka exception ya exposure na facility, sijasema haiwezekani kabisa kwa mtanzania kufanya hayo. Itawezekana vp Mtz kufanya hayo ilihali hata vifaa vyetu tunavyojibia mitihani bado ni pimamaji ya kuchorewa utaje sehemu zake?

Hii ni science hakuna mambo ya kuamini, imani ipo kwenye dini, unatakiwa uniprove wrong au ukubali kuwa sisi bado sana kuweza kuchallenge nn kifanyike huko space.
 
We bado ila mim tayari
 
Lakini hizi mambo za artificial, zitatufikisha mahali Fulani Tena gizani kabisa

Wanasayansi wanatamani kuiedit nature, sthn that won't go without effects.

Tuitunze asili yetu, tumeharibu vya kutosha, sasa tujifunze kutokana na matokeo mabovu ya hapo awali na sasa tuitunze Kwa dhati.lets not wait when the nature get angry with human race..
 
Back
Top Bottom