Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Swala sio PhD ni maono mfano tuna watu wengi wenye PhD wamefanya nini, mawaziri wengi wana-phd ila bado tuko sehemu ambayo sio nzuriMh Raisi. Kama mmoja wa mawaziri wako. Nashaur pia kipind hiki wakat tunasubiriwa kukabithiwa nchi. jiendeleze kielimu. miaka 7 huko mbela una phd yako na watu watakuwa wanaamini hizi tamanio za kimaendeleo ulizonazo.
Najua ila pia usidharau maana Degree miaka 7 ijayo ni form four .Swala sio PhD ni maono mfano tuna watu wengi wenye PhD wamefanya nini, mawaziri wengi wana-phd ila bado tuko sehemu ambayo sio nzuri
Siidharau PhD hapana
Udsm PhD unaweza soma miaka 10 na usimalizeNajua ila pia usidharau maana Degree miaka 7 ijayo ni form four .
Hata kama hawafanyi chochote kizur. ila cheo cha PHd ni heshima sio kila mtu anaweza akawa nayo. and thats make a different .
Mh Rais wetu miaka 4 atakuwa ashamaliza.Udsm PhD unaweza soma miaka 10 na usimalize
Bora hata Udsm, SUA unafikisha hiyo na unadiscoUdsm PhD unaweza soma miaka 10 na usimalize
Elimu ya Tanzania imekuwa ya kukomoana sanaBora hata Udsm, SUA unafikisha hiyo na unadisco
Professors hawataki wengine wawafikie nahisi hii ni toka zamani hayo ya miaka miingi kusotea PhD SUA mbona ni toka zaman maana mi nimeyasikia nikiwa chuo 15yrs iliyopitaElimu ya Tanzania imekuwa ya kukomoana sana
Ahsante, nashukuru na uliyoniambia ntayafanyia kaziMH Dennis Robert Shughuru .
Kama Raisi Kivuli kwa sasa na Rais ujae wa TZ.
wakat tunampongeza Wazir Gwajima. na ww pia tukupongeze kwa kuvumilia criticims ,challenges,heartbreak na matusi ya aina yoyote uliyokutana nayo.
kama hata hukuwah kuwa kiongoz najua sasahiv unajua how it feels kuwa Kiongozi.
So far. Nimeona positive perspective ndio nguzo yako kuu uliyonayo (mfan Elon Musk). Pia along the way utagundua other attributes za kukufanya uwe Kiongozi bora kama vile unavyojiona.
Kila la kheri bro. Rais wangu wa JF.
Na Raisi Kivuli wa TZ
Nakala.kwa mawaziri wote
cc Evelyn Salt
Jamaa ana guts na ujasiri tumezoea wengi wetu tumejificha kwenye majina bandia sio kosa ila jamaa kaonyesha utofautiMH Dennis Robert Shughuru .