<br />
<br />
Mo than u can imagine! Hivi wanawake wote mnaokutana nao u think they r single eeh!
Acheni muone kama tutajido wenyewe!
uuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
figa moja haliiivishi ugali eeh???halooo.....mwambie aendelee hivyo hivyo kama mumewe yuko happy,na service zote anazipata akitaka...shida ya nini? mbona wenyewe wanatupanga......kosa ni kumfanyia dharau au kutompa haki yake kama mume baasi,hayo mengine hayamuhusu haluuuuuuuuuuuuuuu
duu ndefu hiyooo
Jestina mwache tu kaka shemeji wangu agune maji marefu haya ni haki yake hahahahThe Boss leo unaguna sana.......vipi umefakamia mihogo bila kunywa maji?lol
Kumbe wanawake nao huwaga wanacheat? Maajabu ya mwaka hayo!
Wapendwa WanaJF.
Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.
Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa. Kusema ukweli mumewe amekuwa akimis-behave kwa kipindi ikiwemo kucheat, physical abuse and the like. Mke akawa anaumia, anaconfront wanagombana.. After a while mgogoro ule ukapungua (ile frequency ya wao kuja kushtaki kwetu kesi zao ukapungua na mwisho kuisha kabisa- wadau tukakaa na kumshukuru MUNGU juu ya wokovu huu maana hali ilipokuwa inaelekea ilikuwa inatishia uhai wa ndoa ile).
Juzi kanijia huyo mke ananomba ushauri kama mwanamke mwenzie. Akatoa siri ya mafanikio 'amani' ya miujiza iliyotawala kwenye ndoa yake kwa kipindi kile. Alisema alikujaamua kuwa 'mpole' asimfuatilie mumewe wala asijihangaishe naye....alitafuta 'mshefa' wa pembeni naye akawa anajilia raha kwa nafasi!!!....sikuamini lakini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kipindi kile nadhani nilimwelewa ingawa sikuafiki.
Sasa anadai mumewe amejirekebisha sana na amebadilika na kuwa 'mume' tatizo liko kwake amejikuta amedevelop hisia kali za mapenzi kwa 'Mshefa' kuliko kwa mumewe na kila akijaribu kumuacha huyu jamaa anashindwa maana anasindwa kujicontrol kabisa. Not only that hata 'Mshefa' huyo hana dalili za kumsaidia 'kurudi' kwa mumewe kihisia kwani kila mara anakuwa kama anamblackmail vie kuwa anampenda na eti somehow huyu mwanamke amesababisha kutokuelewana flani kati yake yeye 'Mshefa' na mkewe nyumbani kwake. So kila mdada akijaribu kumuacha 'Mshefa' mshefa anakuja juu kimapenzi yaani anachochea vile.
Mdada anasema mumewe alishagundua juu ya cheatignyake lakini akamsamehe baada ya mke kukiri na kuapa kuacha. Ila sasa ndo anashindwa kihisia yuko kwa 'Mshefa' zaidi ya mumewe. Anaomba msaada afanyeje a'rudishe' mapenzi na hisia kwa mumewe??
Amekiri kuwa alifanya kosa na anajutia kutafuta 'faraja' nje ya ndoa.
Naombeni tumsaidie .....Nitawaacknowledge msijali
Huyo mdada aache ulimbukeni. Mume ni first huyo mshega hana lolote na hatakaa afikie renk ya mume. Ni vizuri amrudie Mungu wake akifanya intensive maombi ya kuachana na huyo laghai asiyekuwa na mshipa wa aibu wala akili.
Wanawake angalie sana, kuna vitu tunafanya end of the day ni majuto. Mwanaume au mwanamke harekebishwi kwa Reveange, ni maombi tu.Poleni wale mnaofikiri kwamba kuna vidumu au ndoo zitazidi waume au wake zenu. Piga ua mtazunguka sana na kuhangaika ila suluhu ya matatizo iko mikononi mwa walengwa yaani MKE au MME.
B_E bwana habari yako bana za miaka? hapana bana huyu bidada ameshaona kuwa hahitaji tension za kutumikia mabwana wawili (afu anadai huyo Mshefa anademand kuliko hata mwenye mali) sasa anataka kuwa 'mtoto' mzuri hebu tumsaidie bana!Mshauri aendelee na Mshefa - Ndoa za siku hizi "nyumba ndogo" na "vidumu" ni muhimu sana!
Ajaribu kuangalia ni nini anakipata kule na huku hakipo.... ajaribu kumwambia mwenza wake na yeye aki-provide...
Kama hakihamishiki basi kuna choice mbili..., either amuache huyo mwenza wake aende huko anapotaka au akijifunze kuhishi bila huyu mshefa.., kumbuka mshika mawili yote humponyoka....
neno mshefa naona ni zuri zaidi kuliko buzi lol
Ebana kweli asee....lina sound kihelahela! Buzi linasound kaa jinga flani hivi. What do you think?
Mna vituko nyie viumbe wawili....................Haya rudini kwenye mada husika tafadhalini.mimi naona bora niitwe mshefa kuliko buzi lol
Mara nyingi watu waliopo katika situation kama hizo hua tayari wanajua deep down ni nini anataka.... kuomba ushauri inakua kama tu a way ya kuoanisha ushauri anaopewa na kile anachokitaka... IMO kama huyo dada atathubutu kumuacha mumewe awe na huyo the so called mshefa akiamini ndio atakua na amani as a result of the love in between atachemka...
MJ1 mwambie akumbuke kua huyo mshefa anaonekana ni fun sababu ni stolen kisses and Sex (hio hujenga saana exitement mpaka ile euphoria you feel usipoangalia waweza changanya na mapenzi ya dhati...) Ni mara chache mno mwanaume ambae anatembea na mke wa mtu kutaka kumuoa huyo mwanamke akiachika - for the simple reason kua; anatahisi akiwa nae ka vile atatoka na other guys.... mkuki kwa nguruwe.... Na ukizingatia the hubby has changed for the better... Yaani kweli tell her to choose wisely, na ajiulize kama huyo mshefa mume wa mtu katoka nje, kitu gani kitamzuia kutoka akiwa nae - na ikiwa hivo, why not just stick to the hubby??
ndoa hizi dah heri nitafute kiserengeti changu nijisevie wallah
aliponifufurahisha mj1 ni hapo aliposema hakuamini kuwa mwenzie ana cheat...lol mbavu zangu mimi lol
na hapo aliposema alikiri na kuapa lol duh.....jaribuni stand up comedy jamani lol
Aiseee!!
Apime umuhimu wa kuendelea kua mke na mapenzi ya mshefa!!Alafu kama VoR alivyosuggest aangalie yanayomvutia kwa mshefa aone kama anaweza akayapata kwa mume...kama ni mavazi aanze kumpendezesha...kama ni mitoko waanze...kama ni kubembelezwa amjulishe mume hitaji lake na kadhalika!!
Inasikitisha kwamba wote wameharibu alafu mmoja anashindwa kujirudi.
Ajaribu kuangalia ni nini anakipata kule na huku hakipo.... ajaribu kumwambia mwenza wake na yeye aki-provide...
Kama hakihamishiki basi kuna choice mbili..., either amuache huyo mwenza wake aende huko anapotaka au akijifunze kuhishi bila huyu mshefa.., kumbuka mshika mawili yote humponyoka....