LGE2024 Arumeru: Inasemekana Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji kaogopa kubandika matokeo wa wagombea waliopita, wananchi wamefurika, polisi wa ghasia wafika

LGE2024 Arumeru: Inasemekana Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji kaogopa kubandika matokeo wa wagombea waliopita, wananchi wamefurika, polisi wa ghasia wafika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana hali sihali huko;

"Arumeru Mashariki Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji cha Poli kaogopa kubandika matokeo maana wana nchi wamejaa na wagombea, kwaivyo polisi na maji yao ya machozi wamefika ndio mtendaji ana anza kubandika sasa.

"Haki itapatikana kwa wananchi "

1731061440151.png
 
Back
Top Bottom