LGE2024 Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!

LGE2024 Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala?

=====



Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni wilayani Arumeru kupitia mwenyekiti wake, kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao.

PIA SOMA
- LGE2024 - Nachingwea: Asilimia 99 ya wagombea waliowekwa na CHADEMA waenguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

- LGE2024 - Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Inadaiwa wagombea wengi wa CHADEMA Jimbo la Serengeti wameenguliwa
 
Back
Top Bottom