Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

Hadi sasa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kudhibiti hii hali, hii serikali sasa haina meno kabisa mda si mrefu ujambazi utashamiri kila kona kama hili tu wanaliona ni jambo la kawaida.
 
Mmmh kweli ana roho ngumu mpk akate shingo yote ya binadam mwenzie tumwombe Mungu kwakweli.
 
Hivi umadhibiti vipi hii hali
hadi sasa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kudhibiti hii hali, hii serikali sasa haina meno kabisa mda si mrefu ujambazi utashamiri kila kona kama hili tu wanaliona ni jambo la kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…