Masharti ya mgangaRaymond Mollel amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mlinzi mwenzake kwa kumchinja na kuondoka na kichwa chake bila kuiba kitu eneo la tukio.
Mtuhumiwa huyo amekiri kuhusika na mauaji na kuonesha alipokificha kichwa cha mwenzake. Raymond na marehemu walikuwa walinzi wa Meya wa Arusha, Maxmillian Iranghe.
Pia, soma: Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa
Millard Ayo, Video
Mchagga ana uhusiano gani na jambo hili ?Nilitegemea watakionyesha kichwa dah, hii kabila dah. Hivi kwa haya matukio yanatokea kuna mchagga anajivunia kuwa mchagga??
Magereza yaongezweHahahahahahaha. Hahahahahaha. One man down. Mwaka unapokea mahabusu wengi sana wa mauaji. Tena red handed. Sasa sijui tuseme jeshi la polisi ndio linataka tulipongeze au tusemaje wajameni
Acha kukurupuka.Atakamatwa tu
Kwani we ndo umeua.Acha kukurupuka.
Kuwa na huruma na mtanzania mwenzako wewe. Unamtamania anyongwe wakati naye ana familia?Chapu kisongo akae ahukumiwe kunyongwa condem aende Maweni pale atakutana na Shamoo wa erasto msuya
Ukitamani ugali WA bure siyo uue, huyo angeiba kuku Tu WA jirani na kitenge kwenye kamba angefungwa, akifika anaiba Duka la sabuni na ndoo ya mafutaKwani we ndo umeua.
Kuua mtu kwa kudhamilia ni kiwango cha chini sana cha kufikiri.Labda tu kama unatamani ugali wa bure jela baaada ya maisha kukupiga
Mchagga ana uhusiano gani na jambo hili ?
Acha hizo.Muuwaji na alieuawa ni wakazi wa wawapi? Kabila gani?
Ukitamani ugali WA bure siyo uue, huyo angeiba kuku Tu WA jirani na kitenge kwenye kamba angefungwa, akifika anaiba Duka la sabuni na ndoo ya mafuta
Kwani uyo marehemu aliechinjwa nae hana familia?Kuwa na huruma na mtanzania mwenzako wewe. Unamtamania anyongwe wakati naye ana familia?
Inaonekana una mimba yake.Comment yako ingekuwa na maana zaidi laiti kama usingecheka
Inaonekana una mimba ya huyu jamaa aliyeko peponi.Kila saa una muwaza tu.Hizi tabia za kishetani zilipandikizwa na yule jamaa aliyepo motoni.
Ni la ukoo wa waarusha kama Kunta huko Bangladesh!Hivi hili jina MOLLEL uko Arusha na Moshi ni jina la ukoo? Mbona linatumika sana uko kaskazini