Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Umeambiwa amekamatwa, wewe unasema atakamatwa tu!Kwani we ndo umeua.
Kuua mtu kwa kudhamilia ni kiwango cha chini sana cha kufikiri.Labda tu kama unatamani ugali wa bure jela baaada ya maisha kukupiga
Yaani vyeti feki, wavivu, wadhulumaji, watumishi hewa, wala rushwa hamjaridhirika na kifo cha Magufuli mnamzushia mambo ya hovyo mpaka sasa mnachuki nae kamfukueni mtafune sasa maana chochote kikitokea cha hovyo lazima mtajeHizi tabia za kishetani zilipandikizwa na yule jamaa aliyepo motoni.
Tatizo nchi imekabidhiwa kwa wachawi aka machifu ivyo kafara za damu ndio kwanza zinaanzaHizi kesi siku hizi zimekuwa nyingi sana tatizo ni nn?
Hivi kwa tukio kama hili unaanzaje kulaumu polisi?Hadi sasa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kudhibiti hii hali, hii serikali sasa haina meno kabisa mda si mrefu ujambazi utashamiri kila kona kama hili tu wanaliona ni jambo la kawaida.
Sasa alikata kichwa chankazi gani?Raymond Mollel amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mlinzi mwenzake kwa kumchinja na kuondoka na kichwa chake bila kuiba kitu eneo la tukio.
Mtuhumiwa huyo amekiri kuhusika na mauaji na kuonesha alipokificha kichwa cha mwenzake. Raymond na marehemu walikuwa walinzi wa Meya wa Arusha, Maxmillian Iranghe.
Pia, soma: Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa
Millard Ayo, Video
wakati anafanya huo unyama hakujua ana familia?Kuwa na huruma na mtanzania mwenzako wewe. Unamtamania anyongwe wakati naye ana familia?
Nadhani aliminywa korodani ndipo akaamua kusema alipokificha!Eti kaonesha alipokiweka kichwa cha marehemu
Hivi kwa tukio kama hili unaanzaje kulaumu polisi?
sasa tukio hili halina uhusiano wa moja kwa moja na tukio la barua hiyo ya kujiuzulu