Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kikao cha halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi.
Aidha ametuhumiwa kupokea fedha kwa wadau kwa kutumia jina la Chama.
Pia anatuhumiwa kudharau na kususia vikao vya Chama.
Pia ametuhumiwa, kupokea fedha za Miradi ya Chama tawi la Ambureni na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi.
Pia anatuhumiwa kuchukua fedha za chama kutoka kwa wadau kiasi Cha Tsh. (3,163,200.) Milioni tatu na Laki moja na sitini na shillingi mia mbili.
Pia anatuhumiwa kupotea na kadi za Chama za Electronic zenye thamani Tsh 232,000/=.
Kamati imeelekeza hatua zingine za Kisheria zichukuliwe dhidi yake.