suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
❤❤❤Karibu mkuu..Ukija nitakua mwenyeji wako
Dah jamaa wa arusha fursa ndio hiyo hapo mrembo anatafuta natural heater kazi kwenuKwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje?
It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.
Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Kawaida wapi..hahaha ..Baridi linaleta njaa na unakuwa unakula kama mchwaaaPambana mkuu, mbona baridi ya kawaida tuu[emoji28]
Jaman kwan nimekukosea....Nini wewe mutu?
Utamuweza suzie wewe?Jaman kwan nimekukosea....
Mpeni mwenzenu kampan... story story...cappuccino... kahawa kahawa... usiku unafika kila mtu anashika njia yake...
Pambana na hali yako acha uoga😆Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje?
It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.
Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Kumbe ni dreamer...? Najiwia Sorry kwa kupoteza bando yanguUtamuweza suzie wewe?
Huenda yuko Dom hapo alipo 😄😄
Haiumi eti eehPambana na hali yako acha uoga😆
Aaah nimetania naomba usimhukumu jamani😅😅😅@suzie_barbieKumbe ni dreamer...? Najiwia Sorry kwa kupoteza bando yangu