Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
kipindi baridi inaanza elimu kama hii ilipaswa kuenezwa mikoa yote yenye baridi kali.Aise , inasikitisha sana..Elimu muhimu
kipindi baridi inaanza elimu kama hii ilipaswa kuenezwa mikoa yote yenye baridi kali.Aise , inasikitisha sana..Elimu muhimu
Kweli mkuu, Perhaps wachache sana wanafahamu kuwa ni hatari kulala na jiko la mkaa cuz of less oxygen na carbon monoxide inayozalishwa ambayo mbaya sana kwa afyakipindi baridi inaanza elimu kama hii ilipaswa kuenezwa mikoa yote yenye baridi kali.
ila viongozi wetu kuanzia waziri mkuu, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, madiwani na watendaji hawana miongozo kulingana na maeneo waliyopo.
Asante mkuu..Ila silagi Kongoro.Kamaa upo Moshono nenda mitaa ya suye pale katulie na supu ya ngongoro
Njoo DMKwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje? It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.
Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Asante mkuu[emoji4]
Preta,LiverpoolFc,SweetLad,Black Woman,Loner,PakaJimmy,Filipo.....kwa kuanzia tafuta hao watu watakupa kampani nzuri.
My 20Cents
Kwa hio unaogopa kubakwaUkiingia ndani kwenye post zake anataka iwe kama group hii kwangu hapana kubwa.
Group lolote jf halijawahi kuwaacha salama wana jf.
Mimi nikijikaza ntaonana na mmoja tu ili ikitokea vinginevyo najua mtu wa kudeal naye..sasa group utamnyooshea nani kidole.
Katika haya mambo unatakiwa kuwaza nje ya box
Wapi nimeandikaKwa hio unaogopa kubakwa
Sijajua unakaa maeneo gani but leo asubuhi hivi ilikua balaaleo mbona naona baridi sio kali sana
Pole TressaIle baridi Iko chuga hapana kwa kweli,siku mbili tu niliziona mwaka,huu mwaka imezidi.
Ni kurudi kwetu usukumani mbio mbio,hayo mateso ziiiii
Thanks SuziePole Tressa
unanisingizia Glenn, mwenyewe mgeni tu natafuta pia wa kunionyesha maeneo.Jj mwenyewe ni habari nyingine anajua kila kilicho kizuri na wapi kinapatikana