LGE2024 Arusha: CCM yashinda Mitaa yote Minne ya Kata ya Osunyai Jr

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika mitaa yote minne ya Kata ya Osunyai Jr, ambapo matokeo ya mitaa hiyo ni kama ifuatavyo:

1. Osunyai
2. Mtaa wa Jr
3. Kirika B
4. Ngusero
 
Hamna ajabu
 
Kihalali au kwa wizi wa kura?
 
Back
Top Bottom