Arusha City Drone Footage

Arusha City Drone Footage

Yap, inabidi pia kufanyike maboresho kwenye Public Transport, na stand mabasi ya Mji wa Arusha,
kwenye eneo la Public transport Arusha inafeli sana
Kwenye Public Transport, Arusha na Nairobi ni kama zinafanana tu. Huko kote kuna utiriri wa vifodi (hiace) zimetapakaa katikati ya mji.
 
Unajiaibisha bure. Thanks for proving my point. Wacha nikuongeze nyengine ya bure.
I appreciate the beauty of lake Victoria,
But really what is the difference between that poor glorified village with this Morogoro ?
 
Kwenye Public Transport, Arusha na Nairobi ni kama zinafanana tu. Huko kote kuna utiriri wa vifodi (hiace) zimetapakaa katikati ya mji.
Yap,inafanya mji usiwe na order, kwa mji wa Kitalii kama Arusha unahitaji some work. Vile vipanya,bajaji na bodaboda vinafanya mji unakuwa chaotic
 
Arusha usafiri wa public ni mbaya ......huku hivi vi panya ni vidogo,vimechakaa duh...utajua siyo jijini...
Mimi nashauri hiace zipigwe marfuku watu walete coaster
 
Arusha usafiri wa public ni mbaya ......huku hivi vi panya ni vidogo,vimechakaa duh...utajua siyo jijini...
Mimi nashauri hiace zipigwe marfuku watu walete coaster
Sio rahisi mkuu, ilikuwa ni rahisi sana kuweka utaratibu mapema kabla ya hivyo vipanya na mabajaji havijatake over mijini
Mji unatakiwa kuwa na Order, bajaji na pikipiki na vipanya vinafanya miji inakuwa chaotic
 
Was not competition though but it is an insult
Kulinganisha Arusha na huu Uchafu unaitwa kisumu
Kisumu is incomparable in Tz outside Dar, just like Mombasa.
FB_IMG_16164699030486404.jpg

FB_IMG_16162334153620396.jpg

FB_IMG_16162255216851418.jpg

FB_IMG_16160504519109441.jpg
 
This one looks like a slum. Brown, dusty, no trees. I would compare it to Isiolo in Kenya.

Duh, but checking that Video kweli Kenya kuna hali ngumu sana, umaskini kama huo kweli 2021?
Btw, morogoro Municipality has a population of 400k
 
Hehehe, umejaa mihemko hatari,
Kisumu ilishachapwa 10 Nil na Dodoma na Mjadala tulishaufunga
Pole bro, blind patriotism sio mbaya, keep up soothing yourselves [emoji28][emoji23]
 
Back
Top Bottom